KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA YATINGA SONGWE

Kampeni ya Msaada wa Kisheria inayotekelezwa kupitia Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imewasili mkoani Songwe, ikilenga kuwahamasisha wananchi kujua haki zao za kisheria, kupunguza migogoro ya kijamii, na kuimarisha utawala wa sheria. Kampeni hii, inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Tanganyika Law Society (TLS) na Serikali, inalenga kutoa msaada wa kisheria kwa makundi yote, hususan wanawake, watoto, na watu wanaoishi katika mazingira magumu.












Comments

  1. Mama Samia Legal Aid Campaign imeweza kuwafikia wananchi wote Tanzania na kutatua changamoto mbalimbali kwa wanachi
    #MSLAC
    #ssh
    #siondototena
    #matokeochanya

    ReplyDelete
  2. Tunaishukuru serikali kwa kutuletea kampeni hii ya msaada wa kisheria kwa kila mkoa Nchi nzima kwani imeweza kutatua changamoto na migogoro mbalimbali ikiwemo ya Ardhi,mirathi,ndoa na ukatili wa kijinsia Hakika Mama samia legal Aid campaign Ni mkombozi wa wanyonge
    #sisinitanzania
    #Mslac #ssh
    #matokeochanya

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog