Huduma ya Msaada wa Kisheria Yafika Halmashauri ya Rorya, Mara: Wananchi wa Kata ya Bukura, Kijiji cha Bubombi na Kirongwe Wapata Mafunzo Kuhusu Haki na Sheria Muhimu
Katika muendelezo wa utekelezaji wa utoaji huduma ya msaada wa kisheria, timu ya afisa maendeleo ya jamii kutoka Halmashauri ya Rorya, Mara, ilitua katika kata ya Bukura, kijiji cha Bubombi na Kirongwe kwa lengo la kuwafikia wananchi na kuwajulisha juu ya uwepo wa dawati la msaada wa kisheria ndani ya halmashauri yao. Wananchi walipata fursa ya kujuzwa kuhusu namna dawati hili linavyofanya kazi na umuhimu wake katika utoaji wa haki.
Wakati wa ziara hiyo, mada mbalimbali zilijadiliwa kwa kina, ikiwa ni pamoja na Sheria ya Ardhi, Sheria ya Ndoa, Mirathi na Wosia, Ukatali wa Kijinsia, Utatuzi wa Migogoro, na Haki za Watoto. Huduma hii ni sehemu ya juhudi endelevu za kuhakikisha wananchi wanapata taarifa muhimu na msaada wa kisheria ili kutatua changamoto zinazowakabili katika jamii zao.
Msaada wa kisheria Kwa haki, usawa, amani na maendeleo #mslac #sisinitanzania #hayandiomatokeochanya
ReplyDeleteHuduma hii ni bure kwa watanzania wasiokuwa na uwezo nchi nzima
ReplyDeleteKampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria (MSLAC) imekua ni nafuu kubwa kwa Watanzania wengi katika kuzijua haki na kujua namna yakutatua mogogoro inayowakumba katika jamii zao,
ReplyDeleteHaya ni matokeo mazuri kwa nchi yetu yaTanzania
Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia imekuwa Faraja na suluhu kwa changamoto mbalimbali za kisheria zinazowakabili wananchi.
ReplyDelete#sisinitanzania
#SSH
#matokeochanya
#Mslac
MSLAC inaendelea kuwa nguzo muhimu ya upatikanaji wa haki kwa Watanzania, ikileta msaada wa kisheria kwa wote wanaohitaji🇹🇿
ReplyDelete#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia kwa kila mtu ,mahali popote na hutolewa bure bila malipo yoyote lengo ni kuleta haki,usawa na amani katika jamii.#ssh#sisinitanzania#Mslac
ReplyDeleteMSLAC inawafikia kila mahali uwapo katika ngazi za halmashauri zote nchini na huduma hii ni bure kabisa #sisinitanzania #matokeochanya #mslac
ReplyDeleteWatu wamepata elimu ya kutosha kuhusu maswala ya Haki na utawala Bora #ssh #tanzaniayangu #matokeochanya #sisinitanzania #mslac #kaziiendelee
ReplyDeleteKila chocho kila mtaa huduma inatufikia, hakika ni faraja kutembelewa na maafisa Hawa wa msaada wa Kisheria
ReplyDelete#HayaNdioMatokeoChanya+
#Katiba_sheria
#MSLAC
#DrSSH
#Kaziiendelee
Ulipo tupo huduma ya msaada wakisheria inakufikia #ssh #Mslac #sisinitanzania #katibanasheria #nchiyangukwanza #kaziiendelee
ReplyDeleteHuduma ya msaada wakisheria inafika popote Tanzania
ReplyDelete#ssh
#Mslac
#sisinitanzania
#katibanasheria #nchiyangukwanza
#kaziiendelee
#matokeochanya
MSLAC ni dawati la msaada wa Kisheria la kuaminika #ssh
ReplyDelete#Mslac
#sisinitanzania
#katibanasheria #nchiyangukwanza
#kaziiendelee
#matokeochanya