HAKUNA MWANANCHI ANAYEPASWA KUSALIA NA TATIZO LA KISHERIA

 

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amewataka wananchi wa mkoa huo kuhakikisha wanatumia kikamilifu fursa ya msaada wa kisheria unaotolewa kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC). Akizungumza Machi 3, 2025, Makonda ameonya kuwa hakuna sababu ya mwananchi kubaki na changamoto za kisheria bila kuzitatua, kwani mawakili na wataalamu wa sheria wanapatikana bure kupitia kampeni hiyo.  







Comments

  1. Huduma ya msaada wa kisheria kwa HAKI USAWA AMANI NA MAENDELEO

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kampeni ya msaada wa kisheria ni nyenzo ya kuleta haki,usawa ,amani na maendeleo #ssh #sisinitanzania #Mslac #katibanasheria

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog