HAKI YAKO, NGUVU YAKO, FAHAMU WAJIBU WAKO KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI









 

Comments

  1. Tunampongeza na kumshukuru Rais wetu wa awamu ya sita Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na muongozo mzuri katika kipindi hiki Cha uchanguzi ambapo kila mwananchi ana Haki ya kulindwa wakati wa uchaguzi,haki ya kushiriki kampeni za uchaguzi,haki ya kutoa malalamiko,haki ya kupiga kura na haki ya kugombea uongozi.

    ReplyDelete
  2. Kampeni hii imesaidia sana kupunguza migogoro isiyo ya lazima

    ReplyDelete
  3. Kila Mwananchi Anahaki ya kuchagua kiongozi anaye mtaka Hivyo kila Mtanzania Ana Haki ya kulindwa pindi anapo fanya Uchaguzi wa Kiongozi amtakaye anaye ona anamfaa

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog